Kwa mujibu wa mmoja wa WanaUvccm Arusha (Jina kapuni) amesema tukio hilo
lilitokea jana baada ya Bwana Ezekiel Moleli kugoma kwenda alipo
hamishiwa kikazi Dar es salaam na kung'ang'ania kubaki katika Ofisi ya
Uvccm ya Arusha na wakati nafasi yeke inashikiliwa na Said Goha ambaye
alikuwa Katibu wa Uvccm mkoa wa Lindi ambaye alihamisha kuja kuchukua
nafasi ya Ezekiel Moleli.
Sasa ikatokea Vuta nikuvute kunabaadhi ya wanaUvccm wanataka Ezekiel
Moleli abaki na wengine wanataka aondoke hapo ndipo balaa lilipokuwa.
Embu angalia Vita hivi vya wanaUvccm Arusha.

Post a Comment