O.Mutaitina ni mjumbe wa bodi Ewura (kushoto) mkuu wa wilaya ya Liwale,Sarah Chiwamba (katikati ) na Nzinyangwa E. Mchany (kulia) Mkurugenzi wa masuala ya uchumi idara ya uchambuzi wa maombi ya kubadilisha bei akitoa maelezo mafupi ya utangulizi kuhusu EWURA kwa niaba ya Mkurugenzi mkuu wa Ewura.
Baraza la ushari la watumiaji wa huduma zinazodhibitiwa na EWURA (CCC) mkoa wa Lindi
Wadau mbalimbali wa watumiaji wa maji wilayani Liwale mkoani Lindi wakiwa kwenye mkutano wa kutoa maoni juu ya maombi ya mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Liwale (LIUWASSA) Kuomba kuongeza bei za huduma ya maji
Wadau mbalimbali wa watumiaji wa maji wilayani Liwale mkoani Lindi
wakiwa kwenye mkutano wa kutoa maoni juu ya maombi ya mamlaka ya maji
safi na usafi wa mazingira Liwale (LIUWASSA) Kuomba kuongeza bei za
huduma ya maji

huduma ya maji.
Liwale,Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) yaendesha mkutano wa kupata maoni kuhusu ombi la mamlaka ya
maji safi na mazingira Liwale (LIUWASSA) la kuongeza bei za huduma zake
wilayani Liwale Mkoani Lindi.
Mkutano huo ulifanya leo septemba 16 kwenye ukumbi wa Liwale Guest,Mgeni rasmi ni mkuu wa wilaya ya Liwale,Sarah Chiwamba na uliudhuliwa na wadau mbalimbali wa watumiaji maji pamoja na baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za nishati na maji zinazozibitiwa na (EWURA CCC).
Kaimu meneja mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira injinia Bakari Njaro akisoma taarifa mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira (LIUWASSA) kurekebisha bei za huduma ya maji kwa mwaka 2016/2017 hadi 2018/2019 Liwale ni makao makuu ya wilaya ya Liwale ina wakazi 29,334,mamlaka ya maji Liwale ina jumla ya wateja 1821 kwa sasa,inazalisha maji kiasi cha lita 659,370 kwa siku.Ukilinganisha na mahitaji ya lita 2,053,380 kwa siku ambao ni sawa na wastani wa 32%.
Mamlaka ina jumla ya watumishi 25 kati yao 3 ni wa mkataba 11 ni waajiriwa na Halmashauri ya wilaya ya Liwale na 11 ni watumishi wa muda.
Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira Liwale ilianzishwa kwa sheria namba 8 ya mwaka 1997 na kutangazwa katika gazeti la serikali namba 28 la tarehe 30,januari 2004 na wajumbe wake wa bodi walioteuliwa na waziri mwenye dhamana ya masuala ya maji novemba 19 mwaka 20104.
Njaro alibainisha baadhi ya mafanyikio ya mamlaka ya maji Liwale toka ianzishwe ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa wateja kutoka 673 mwaka 2007 hadi kufikia wateja 1821 kwa sasa,makusanyo yalikuwa wastani ya shilingi 3,994,115.69 kwa mwezi hadi kufikia sh. 7,510,790.75 kwa mwezi kwa sasa huku mamlaka hiyo imeweza kuongeza mtandao wa bomba kutoka urefu wa km 22.22 mwaka 2007 mpaka kufikia urefu wa km 31.92 kwa sasa pia mamlaka imewezakujenga vituo vya kutolea maji (viosk) vinne pia mamlaka imeweza kufanya ukarabati wa miundombinu ya maji kupitia fedha za WSDP.
Kaimu meneja mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira injinia Njaro aliweza kubainisha changamoto mbalimbali za mamlaka hiyo katika utekelezaji wa majukumu yake ikiwa ni uzalishaji wa maji usiokidhi mahitaji ya wateja unaosababishwa na uwezo mdogo wa chanzo cha maji cha mto Liwale pamoja na uwezo mdogo wa matenki ya maji ya kuhifadhia maji.
Changamoto zingine vipenyo vidogo vya bomba za kusambazia maji,kupungua kwa ruzuku ya kulipia ankara ya umeme kutoka kiasi cha sh. 24,000,000 hadi kiasi cha sh. 6,000,000 kwa mwaka,ongezeko la ankra ya umeme kwa uendeshaji wa mitambo ya kusukuma maji kutoka kiasi cha sh. 1,500,000 kwa mwezi hadi kufikia kiasi cha sh. 4,500,000.
Na sehemu kubwa ya makazi ya watu katika mji wa Liwale kutokuwa na mtandao wa bomba za kusambazia maji na upotevu mkubwa wa maji.
Njaro alibainisha mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo ikiwa mamlaka ya maji Liwale imejipanga kupitia mamlaka ya udhibiti wa huduma ya nishati na maji 9EWURA) kuomba bei ya mpya ya maji ili kuweza kufanya kuendelea kushirikiana na serikali katika kufanya uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya maji,kubadilisha mitandao ya bomba za maji kusambazia zenye vipenye vidogona kuweka bomba zenye vipenyo vikubwa,kulipia gharama za umeme kwa uendeshaji wa mitambo ya kusukuma maji,kuongeza mtandao wa maji katika maeneo yasiyokuwa na mtandao wa urefu usiozidi kilimeta 4 na kupunguza upotevu wa maji kwa kudhibiti mivujo ya maji na kuendelea kufunga dira za maji kwa wateja wa makundi mbalimbali.
Pia katika risala hiyo Njaro alisema manufaa yatakayopatikana kwa wateja kutokana na kupandisha bei na tozo mbalimbali za maji kuwa Mamlaka itaweza kulipia ankra za umeme kwa kila mwezi,kuwalipa watumishi wake na wateja kupata huduma ya maji,kufanya matengenezo ya miundombinu ya maji kwa kufunga pindi panapokuwa na hitilafu na kuweza kusababisha wateja na watumiaji maji wengine kuendelea kupata huduma ya maji,mamlaka inaweza kununua vifaa kwa ajili ya kufanya ukarabati na matengenezo ya miundombinu na kuwezesha huduma ya maji kuwafikia watumiaji maji.
Ongezeko la bei lililondekezwa
A.Wateja wenye mita
Wateja wa majumbani bei ya sasa sh. 540 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 700.
Wateja wa kibiashara bei ya sasa sh. 700 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 1,400

Wateja wa taasisi bei ya sasa sh. 680 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 1,000
Wateja wa viwanda bei ya sasa sh. 1,500 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 1,500
B; Wateja wasio na mita
Wateja wa majumbani bei ya sasa sh. 6,000 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 10,000
Wateja wa kibiashara bei ya sasa sh. 11,500 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 11,500
Wateja wa taasisi bei ya sasa sh. 9,500 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 9,500
C; Gharama ya kuchangia wateja wapya
Wateja wa majumbani bei ya sasa sh. 42,000 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 42,000
Wateja wa kibiashara bei ya sasa sh. 42,500 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 42,500
Wateja wa taasisi bei ya sasa sh. 42,500 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 42,500Wateja wa viwanda bei ya sasa sh. 42,500 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 42,500
D; Fomu ya wateja wapya
Wateja wa majumbani bei ya sasa sh. 00 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 5000
Wateja wa kibiashara bei ya sasa sh. 00 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 10,000
Wateja wa taasisi bei ya sasa sh. 00 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 5,000Wateja wa viwanda bei ya sasa sh. 00 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 10,000
E. Gharama ya kurudisha
Wateja wa majumbani bei ya sasa sh. 10,500 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 10,500
Wateja wa kibiashara bei ya sasa sh. 11,000 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 15,000
Wateja wa taasisi bei ya sasa sh. 11,000 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 11,000-15,000Wateja wa viwanda bei ya sasa sh. 11,000 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 15,000
F; Gharama ya mita
Gharama ya mita hii inahusika kwa wateja wenye mita pekee
Wateja wa majumbani bei ya sasa sh. 0.00 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 500
Wateja wa kibiashara bei ya sasa sh. 0.00 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 1,000
Wateja wa taasisi bei ya sasa sh. 0.00 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 1,000Wateja wa viwanda bei ya sasa sh. 0.00 bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 1,000
G; Gharama ya huduma
Gharama ya huduma hii inahusika kwa wale wateja wanaotumia huduma maji yaani wateja hai pekee
Wateja wa majumbani bei ya sasa sh. NA bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 1,000
Wateja wa kibiashara bei ya sasa sh. NA bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 1,500
Wateja wa taasisi bei ya sasa sh. NA bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 1,000Wateja wa viwanda bei ya sasa sh. NA bei inayopendekezwa mwaka 2016/2017 na 2018/2019 ni sh. 1,500

Katika risala hiyo Njaro aliiomba EWURA ikubali kurekebisha bei hizo za
maji pamoja na tozo mbalimbali ili mamlaka hiyo ya maji safi na usafi wa
mazingira mjini Liwale iweze kufikia malengo yake ya kuwapatia wateja
wake huduma ya maji na kuweza kutekeleza sera ya maji (NAWAPO) ya mwaka
2002, kwa mujibu wa sera hiyo serikali inazitaka mamlaka zijiendeshe
kibiashara, hivyo kila mamlaka inapaswa kurejesha gharama zake zote za
kutoa huduma kwa wateja wake kwa kipindi cha muda wa kati na mrefu.
Wadau wa maji waliweza kutoa maoni yao mbalimbali juu ya ombi la ongezeko la bei za huduma ya maji kwa kusema suala hilo kwao ni mzigo mkubwa huku wakidai huduma hiyo ya upatikaji wa maji safi katika mji wa Liwale mjini haukidhi mahitaji wakidai maji hawapati ndani ya wiki hivyo walishauri Liuwassa kuboresha kwanza miundombinu yao ndipo watoe maombi ya ongezeko la bei.
Kwa upande wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za nishati na maji (EWURA CCC) waliweza kubaini takwimu zinaashiria kuwa utendaji wa Liuwassa siyo mazuri wa kuridhisha na hiyo mamlaka hiyo inapaswa kujipanga vyema ili kuweza kuimarisha ufanisi na uboreshaji huduma zake kwa wananchi.
Baraza hilo lilisema kuwa kwenye bei zinazopendekezwa na Liuwassa kuna ongezeko la 100% la bei kwa watumiaji wa biashara,yaani kutoka shilingi 700 mpaka 1400 kwa lita ya ujazo baraza lilidai ongezeko hilo ni kubwa na linahitaji maelezo.
Baraza liliongeza kusema huduma nyingine zenye ongezeko kubwa ni kiosk (lita 20) kutoka shilingi 20-30 mpaka 50,ongezeko la karibu 100%, watumiaji wa majumbani wasio na dira kutoka shilingi 6,000-10000 kwa mwezi sawa na ongezeko la 67%,ghalama ya maunganisho mapya 42,000 mpaka 60,000sawa na 43% kwa wateja wa majumbani na gharama ya maunganisho mapya kutoka shilingi 42,500 mpaka shilingi 85,000 sawa na ongezeko la 100%.
Pia baraza halikuona mantiki ya Liuwassa kupendekeza kuuz fomu za maombi ya maji kuunganishiwa huduma kwa shilingi 5,000 kwa wateja wa majumbani na shilingi 10,000 kwa wateja wa biashara na viwanda na Liuwassa ikipendekeza tozo ya kukodisha mita hata hivyo baraza halikukubaliana na tozo hiyo ya kukodisha dira ikisema dira ni mali ya mamlaka na haipaswi kumkodishia mteja huku ikibaini kuwa Liuwassa haijafanya utafiti wa kubaini utayari na uwezo wa wateja kuzidumu gharama hizo.
Chanzo kikuu cha maji cha Liuwassa ni Mto Liwale ambao una changamoto nyingi ikiwa kupungua kwa kina cha maji kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa pamoja na shughuli za kibinadamu,ili kuhakikisha upatikanaji endelevu wa maji katika chanzo hicho,Liuwassa inatakiwa kuwekeza katika utunzaji wa mazingira kuzunguka chanzo hiko.
Baraza lilisema kuwa Liuwassa ilikiri kuwa ina jumla ya pampu 3 za kusukuma maji kati ya hizo ni pampu moja tu ndiyo inayofanya kazi,kuwa na pampu moja tu kunaongeza uwezekano wa wateja kukosa huduma ya maji pindi pampu hiyo itakapoharibika huku ikiongeza kuwa na pampu moja inapunguza uwezo wa kuzalisha maji ya kutosha kumudu mahitaji makubwa ya wakazi wa Liwale.
Huku baraza hilo likijiuliza ni kwanini mamlaka inashindwa hata kuzifanyia matengenezo hizo pampu 2 ili uzalishaji wa maji uimarike.
Baraza hilo kiliwasilisha ombi hilo kwa EWURA itazingatia maoni hayo itakapofanya uamuzi kuhusiana na ombi hili.

Post a Comment