Winga Mrisho Ngassa amevunja mkataba na timu ya Free State Stars ya Afrika kusini baada ya pande zote mbili kufikia makubaliano.
Ngassa
alijiunga na klabu hiyo Mei 2015 ambapo alisajiliwa na kocha Kinnar
Phiri na kudondosha wino wa miaka minne kwa sasa mchezaji huyo yupo huru
kujiunga na timu yoyote.
Klabu ya Free State Stars FC ya Afrika Kusini ilitoa barua ya kuvunjwa mkataba huo na Meneja Mkuu Rantsi Mokena inaonesha mkataba huo umevunjwa tangu August 25, 2016.
Klabu ya Free State Stars FC ya Afrika Kusini ilitoa barua ya kuvunjwa mkataba huo na Meneja Mkuu Rantsi Mokena inaonesha mkataba huo umevunjwa tangu August 25, 2016.
Post a Comment