0

Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Bw. Deodatus Kinawiro akikagua ujenzi wa miundombinu iliyoharibiwa na tetemeko la ardhi mkoani Kagera.

-Baadhi ya Madiwani wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Bw. Deodatus Kinawiro wakati wa kikao cha dharura cha baraza hilo.

Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Bw. Deodatus Kinawiro akiongea na walimu wa shule ya msingi Kashai alipowatembelea ili kuona maendeleo ya wanafunzi baada ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na moja ya kituo cha televisheni nchini kuwa shule hiyo imefungwa kutokana na athari za tetemeko la ardhi mkoani Kagera.

5Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Bw. Deodatus Kinawiro akiongea na walimu wa shule ya msingi Kashai alipowatembelea ili kuona maendeleo ya wanafunzi baada ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na moja ya kituo cha televisheni nchini kuwa shule hiyo imefungwa kutokana na athari za tetemeko la ardhi mkoani Kagera.

Post a Comment

Top