Chama cha kutetea Abiria Tanzania kinapinga tozo la kuingia stendi za
Mabasi , Treni na Vivuko nchi nzima kwa Abiria mwenye Tiketi na itakuwa
ni wizi kwa kufanya hivyo.. ikitokea Abiria katozwa afike ofisi za
CHAKUA Ubungo na atarudishiwa pesa yake mara moja.
Post a Comment