0

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. John Joseph Pombe Magufuli ameendelea kuonyesha wazi kuwa sio mtu wa "SI WA KUJARIBIWA" baada ya kutengua Uteuzi wa RAS, na DED Mkoa wa Kagera baada ya kupata Taarifa za kutaka "Kupiga dili" kupitia Maafa ya Mkoa wa Kagera

Pia Mh Rais ametoa shukrani zake za dhati kwa serikali ya india baada ya kupokea kiasi cha fedha taslimu million 545 kwaajili ya Maafa ya Mkoa wa Kagera. 

Post a Comment

 
Top