Ajali ya gari kugonga pikipiki na kuacha njia na kupinduka na kusababisha kifo na majeruhi 0 Kitaifa 14:16:00 A+ A- Print Email Mtu mmoja amefariki na watano kujeruhiwa baada ya basi la Hood T477 AXV, kugonga Pikipiki na kupinduka katika eneo la Mambungo. Chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki kuhamia ghafla upande wa kulia akitaka kuingia katika kituo cha mafuta
Post a Comment