Mkuranga. Kaimu Mganga Mkuu wa Zahanati ya Lukanga, iliyopo
Mkuranga, Dk Beatrice Swai amesema hakuna mwananchi yeyote anayetozwa
faini ya Sh20,000 anapojifungulia njiani
Amesema mtendaji wa kata aliyepita aliweka mfumo huo wa kuwalipisha faini baada ya kubaini uzembe ulikuwapo, lakini tangu yeye afike katika kituo hicho cha kazi mwaka 2013 mfumo huo haujawahi kutumiwa.
Awali, wakazi wa kijiji hicho walitoa malalamiko kwenye mkutano na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo wakiwatuhumuwa wauguzi kuwatoza fedha hizo.

Post a Comment