Hakimu huko nchini Brazil ameruhusu maandamano ya amani ya kisiasa wakati wa michezo ya olimpiki inayoendelea huko mjini Rio.
Maamuzi
hayo yamekuja baada ya waandamanaji hao kufukuzwa katika viwanja
mbalimbali vya Olympiki kwa kubeba mabango ya kumkosoa Rais wa mpito,
Michael Temer.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment