Dar es Salaam. Polisi nchini Indonesia wamekamata kakakuona zaidi
ya 650 waliokuwa wamehifadhiwa kwenye jokofu katika nyumba ya mwanaume
mmoja, mkazi wa wilaya ya jombag, kisiwa cha Java.
Msemaji wa Jeshi la Polisi la Java, Raden Prabowo amesema walipata taarifa kutoka kwa majirani walioshtushwa na nyendo za mwenye nyumba hiyo ambaye alikuwa anamiliki majokofu zaidi ya kumi
Inaelezwa kuwa mwenye nyumba hiyo mwenye umri wa miaka 55(jina linahifadhiwa) alikuwa akiwahifadhi kakauona hao na kuwatumia kwa ajili ya tiba za jadi.
Kakakuona hao, ambao ni miongoni mwa wanyama walio hatarini kutoweka, walikutwa wakiwa wamefungwa kwenye mifuko ya nailoni na kuwekwa kwenye majokofu makubwa.

Post a Comment