Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Patrick Samson maarufu kwa jina
la Nchumila,mkazi wa Kata ya Nyihogo wilayani Kahama mkoani aliyekutwa
ndani akiwa amefariki dunia baada ya mwili wake kukaa ndani ya chumba na
kuanza kutoa harufu Kali iliyosikika kwa majirani zake.
Akidhibitisha kutokea kwa tukio hil o Afisa mtendaji wa mtaa wa Sazia Simon Mabumba amesema alipokea taarifa majira ya saa tisa arasiri kutoka kwa majirani zake na hivyo kutoa taarifa kwa jeshi la Polisi wilayani hapa ambao kutokana na mwili kuharibika vibaya waliruhusu shughuli za maziko ziendelee.
Hata hivyo kwa mujibu wa Afisa Mtendaji huyo chanzo cha tukio la kifo cha mtu huyo hakijafahamika kutokana na marehemu huyo alikuwa na tatizo la akilili na siku ya mwisho marehemu alionekana akiwa amelewa.
Kwa upande wake mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo ambae hakutaka jina lake litajwe mtandaoni amesama kuwa ametoa msaada wa kutoa taarifa hiyo katika vyombo vinavyo husika baada ya kukuta harufu kali imetanda kwenye eneo hilo wakati alipofika kwa lengo la kumsalimia mama yake.

Post a Comment