Habari iliyoripotiwa Mchana ni kuhusu ajali ambayo imetokea eneo la Veta Dakawa mkoani Morogoro ikihusisha magari matatu ambayo ni basi la kampuni ya Ota ,lori la mafuta na kontena lililobeba mchele
Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki dunia na wengine ambao idadi yao bado haijajulikana wamejeruhiwa.
Taarifa zaidi tunakuletea
Post a Comment