BAADHI YA WADAU WA MAENDELEO WA MANISPAA YA LINDI WAMETOA MAONI YAO KUHUSIANA NA BAJETI AMBAYO IMEANZA KUFANYA KAZI HAPO JUZI JULAI MOSI, NA KUSEMA ITAKUA NA CHANGAMOTO KWA WANANCHI WA HALI YA CHINI.
KWA UPANDE MWINGINE
WADAU HAO WAKIONGEA NA MWANDISHI WETU WA LIWALE BLOG WAMESEMA WANANCHI WENGI HAWANA UELEWA KUHUSIANA NA BAADHI YA MAMBO
MBALIMBALI YALIYOPO KWENYE BAJETI HIYO NI VIZURI WAKAPEWA ELIMU YA KUTOSHA ILI
WAPATE UELEWA.
Post a Comment