Wakati kampeni ya kuliweka jiji la Dar es salaam kuwa safi na zoezi la
wananchi kufanya usafi katika maeneo yao kila siku ya Jumamosi
likiendelea, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda amepiga
marufuku vitu vitatu kutoonekana katika mkoa wa Dar es Salaam.
Akizungumza kwenye kongamano la Dini lililofanyika katika uwanja wa Taifa alisema.."Kwa watumiaji wa biashara ya Sheesha katika maeneo ya Bar, Clubs na sehemu zingine kuanzia jana ni marufuku katika maeneo hayo".
Akaongeza kwa kusema kuwa "Ni marufuku kwa wavutaji wa Sigara kwenye sehemu za wazi kwani wataalamu wanasema ule moshi unamuathiri yule asiyetumia hiyo Sigara kuliko yule anayetumia Sigara".
Hatimaye Mh. Makonda alisema "Ni marufuku kwa ushoga kwenye mkoa wangu wa Dar es Salaam na mashoga wote walio kwenye instagram na Facebook watakamatwa na wale wote wanao wa follow mashoga kwenye mitandao ya kijamii basi watakuwa na hatia ile kama ya mashoga".

Post a Comment