Ofisi ya waziri mkuu inayoshughulikia kazi,Vijana na ajira,imewatolea
wito vijana waliobahatika kupata elimu ya kutosha kuisaidia jamii
kubadili mitazamo na kuwa na mtizamo chanya kuhusu masuala mbalimbali
yanayoikwaza jamii kwa ujumla wake hususani kilimo, kwakuwa wanakubalika
na kuaminika kutokana na elimu ama maarifa waliyonayo.
Wito huo umetolewa na Naibu waziri Ofisi ya waziri mkuu kazi,Vijana na ajira,ANTHONY MAVUNDE,alipokuwa akizungumza na wasomi vijana kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya juu jijini Dar Esa Salaam,wakati wa uzinduzi wa kipindi cha Radio,kitakachotumika kama jukwaa la kuhamasisha vijana wanaohitimu elimu ya juu nchini,kuachana na dhana potofu ya kuajiriwa badala yake,kujiaijiri na kuajiri wengine.
Awali meneja vipindi wa Kituo cha Times Fm,kitakachoendesha kipindi hicho,RON FIDANZA,alisema,kituo chao kimeona ni busara kutoa nafasi kwa wanafunzi wa elimu ya juu ya changamoto zao hususani suala la ajira ikijiita zaidi katika kutafuta majawabu juu ya kadhia hiyo kwakuwa ni jukumu la kila Mtanzania kujitoa, kwakuwa seriklai peke yake haiwezi.

Post a Comment