Watu walikuwa wamekusanyika kusherehekea Sikukuu ya Bastille
Zaidi ya watu 80 wameripotiwa kuuawa katika shambulio lililotokea katika mji wa Nice kusini mwa Ufaransa.
Lori
lililokuwa likienda mwendo kasi lilijiingiza katika mkusanyiko wa watu
waliokuwa wakiangalia maonesho ya fataki kuadhimisha siku ya kitaifa ya
Bastille, ambayo huja na shamra shamra kila mwaka.
Mwendesha
mashtaka katika mji wa Nice, Jean- Michel Pretre amesema lori hilo
liliendelea kutembea kilo mita mbili kabla ya polisi kumpiga risasi
dereva.
Bunduki na makombora yameripotiwa kukutwa ndani ya lori hilo.
Waakazi wa mji huo wa Nice wameshauriwa kutulia majumbani. Lori lililotumiwa na mshambuliaji
Rais Francois Hollande amerudi mjini Paris kwa ajili ya kufanya kikao cha dharura.
Hali
ya tahadhari iliyowekwa toka kutokea kwa shambulio lililofanywa na
Islamic State mjini Paris, bado iko palepale nchini Ufaransa.
Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Ki...Read more »
kuzoeana baina ya wanandoa ni jambo zuri, kwa maana ya kila mmoja kumfahamu mwenzake, lakini kuzoeana huku kunaweza kuzalisha dharau hususani kwa...Read more »
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionHuenda ndege zikatengezwa bila madirisha katika siku za usoni.
Kampuni ya ndege ya Emirates imezindua nd...Read more »
Image captionMaandamano yamefanyika mjini Nairobi siku ya Jumatatu kulalamika kuhusu tuhuma za ubakaji katika shule ya Moi Girls Nairobi
Walimu pamoj...Read more »
Operesheni ya mwisho ya Tundu Lissu imefanyika na kumalizika salama.
Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), alifanyiwa op...Read more »
Haki miliki ya pichaAFPImage captionBado muswada unahitaji kupitishwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza kufanya kazi.
Bunge nchini Rwanda...Read more »
Post a Comment
aprieztmkrdezign
218168578325095
Emoticon
Click to see the code! To insert emoticon you must added at least one space before the code.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.