Maafisa wa serikali
ya Sudan Kusini wameiambia BBC kwamba wanamtambua waziri wa madini
Taban Deng Gai kuwa makamu wa kwanza wa rais akichukua mahala pake Riek
Machar ambaye alitoroka mji mkuu wa Juba baada ya mapigano makali mapema
mwezi huu.
Hatahivyo msemaji wa Machar amesema kuwa wameukataa uteuzi wa Bwana Deng.Bwana Deng alikuwa mpatanishi mkuu wa Machar na hatua yake ya kuchukua wadhfa huo unaonyesha kuwa wametofautiana, hivyobasi kuweka mgawanyiko katika upinzani ambao unazidi kutatiza juhudi za kupata amani nchini Sudan Kusini ,kulingana na wachanganuzi.
Post a Comment