0

Muda wa kuonesha vipaji na ustadi wa timu bora umefika katika hatua ya robo fainali leo julai 12 kutakuwa na mchezo mmoja uwanja wa wilaya ya Liwale unaotarajiwa kuwa mkali kati ya Mpengele fc dhidi ya Likongowele city timu hizi ziliwahi kukutana katika hatua za makundi ambapo Mpengele fc iliweza kushinda mabao 3 kwa 1. 

swali je Mpengele fc leo itaendeleza rekodi au Likongowele city itarudisha kichapo? 
 Matokeo ya michezo yote yatapatikana hapa hapa

Post a Comment

 
Top