Ng'ombe wa maajabu azaliwa Kisiwani Pemba, Ng'ombe huyu amekuwa kivutio
kikubwa humo kisiwani Pemba baada ya kubainika kuwa akipumua yani akitoa
pumzi inanukia harufu ya Mafuta uzuri..
Watu wengi wamekuwa wakiacha Shughuli zao na kwenda kumuangalia Ng'ombe huyo wa maajabu..
Post a Comment