WATU 30 wamefariki dunia baada ya mabasi mawili mali ya Kampuni ya City
Boys, kugongana jana asubuhi katika kijiji cha Maweni Tarafa ya Kintinku
wilaya ya Manyoni mkoani Singida.
Nahata ukiangalia picha za ajali utaona Basi limeharibika upande wa Kushoto wa basi nawakati Mfumo wa Barabara zetu magari yanapita upande wa Kushoto,
Kiukweli hili swala la Ajali limekuwa ni janga la Taifa Tunaiomba Serikali ilitazame kwa jicho la tatu hili swala..
Pia Kitendo cha Abiria kuendelea kunyamaza pindi wanapo ona maovu yakifanyika hii tabia lazima ibadilike kwa kila abiria tutakuwa tunakufa kila siku kwa sababu ya kuto kusema tu.
Post a Comment