0

 Majina ya wasanii wanaowania tuzo za mwaka huu za Afrimma yametajwa. Diamond ameongoza kwenye orodha hiyo kwa kutajwa kwenye zaidi ya vipengele vinne.

Tuzo hizo zitatolewa Oktoba 15 nchini Marekani. Tazama orodha ya wasanii wa Tanzania waliotajwa hapo chini.

Best Female East Africa
 Vanessa Mdee
Linah


Afrimma Video of the Year
 Unconditionally Bae – Sauti Sol & Alikiba
My Sweet Love – Akothee f/ Diamond


Music Producer of the Year
 Tudd Thomas


Best African Dancer
 Moses Iyobo


Best Collaboration
 Make Me Sing – Diamond & AKA



Best Africa Group
 Yamoto Band


Song of the Year
 Unconditionally Bae – Sauti Sol & Alikiba
Make Me Sing – Diamond & AKA


Artist of The Year
 Diamond


Best New Comer
 Harmonize

Best Male East Africa

Diamond
Alikiba

Post a Comment

 
Top