Mtu wangu
wa nguvu sayansi na teknologia inazidi kukua kwa kasi sana na katika
pitapita zangu nikakutana na hili ambalo nakusogezea leo July 21 2016. Boti hizi zinazotumika majini kwa kutumia umeme wa mionzi ya Jua (Solar Power) katika nchi mbali mbali duniani ikiwemo Marekani,Ufaransa, Australia, Ujerumani, India na Uswisi.
Nakusogezea picha za boti hizi ili na wewe ujionee mtu wangu. Pia usisahau kuniachia comment yako chini mtu wangu.
1. Boti hii inayotumika nchini Uswisi2. Boti hizi zinatumika nchini Australia
3. Boti hizi zinatumika nchini Marekani
4. Boti hii inayotumika nchini India
5. Boti hii iliotengenezwa na wajerumani na planet solar company ni boti kubwa Duniani yenye uwezo mkubwa wa solar power na sehemu ya juu imefunikwa na vipande vya solar.
6. Boti hizi zinatumika kama boti za mashindano nchini Ufaransa
U Dismiss
Post a Comment