Mchezo kati ya Transporter dhidi ya Kipule fc njano timu ya Transporter fc,mchezo ulichezwa katika uwanja wa wilaya ya liwale
Ligi ya Liwale super cup jana june 28 iliendelea kutimua vumbi
katika uwanja wa wilaya ya liwale,kulikuwa na mchezo kati ya Kipule
fc vs transporter fc
katika mchezo wa hapo jana transporter fc waliweza kushinda bao 2 kwa1.
goli la KIPULE FC lilifungwa na MBARAKA MASOUDI katika dakika ya 60.
Leo june 29 kutakuwa na mchezo mmoja unaotarajiwa kuwa mkali utakaotimu vumbi katika uwanja wa wilaya ya Liwale kati ya LIKOMBORA FC Vs MPENGELE FC,timu ya Mpengele fc katika mashindano haya ina point 3 baada ya kuicha Likongowele fc bao 3 kwa 1 na timu ya Likombora fc ilipoteza mchezo wake baada ya kukubali kichapo cha bao 4 kwa 2 dhidi ya Kigamboni fc.
Post a Comment