Wales na England zimefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Euro baada ya mechi zake za kundi B kukamilika.
Vijana
wa Chris Coleman wamewabamiza Russia mabao 3 kwa 0 na huku England
ikija ya pili kwenye kundi baada ya kubanwa mbavu na Slovakia.
Post a Comment