0


Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba  akizungumza Michuz TV wakati wa uzinduzi wa duka la vifaa vya vya michezo pamoja na vitu mbalimbali vya Azam duka hilo limezinduliwa ndani ya boti ya Kilimanjaro 6 leo.

Wafanyakazi wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya Jezi za  Timu ya Azam zinazopatikana katika Duka Maalum lililofungulia ndani yaboti ya Kilimanjaro 6 leo.

Post a Comment

 
Top