Zipo njia mbili za kutumia ili kukuwezesha kuweza kutumia akaunti mbili kwa simu moja ipo OGWHATSAPP pia nyingine ni SWITCHME Lakini leo nitakujuza njia moja ambayo ni OGWHATSAPP
OGWHATSAPP ni application ya android ambayo itakuwezasha kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja , Leo tutaona jinsi ya kuweka OGWHATSAPP kwenye simu yako kuatana nami mpaka mwisho wa Tips hii
STEP KWA STEP
1. Fanya back up kwenye whatsapp yako kwa kubofya kibengele kinachosema Back up conversation
3. Nenda kwenye Internal memory ya simu ya simu kisha tafuta folder linaloitwa whatsapp libadilishe jina (Rename) kuwa OGWHATSAPP
5. Download OGwhatsapp hapa https://www.dropbox.com/s/kssbcbcxgovpi1o/OGWA.apk?dl=0
kisha install kwenye simu yako. ifungue OGwhatsapp kisha andika namba yako ya whatsapp ambayo ulikuwa unaitumia kwenye ile uliyoifuta
6. Download whatsapp kutoka playstore halafu install kisha weka namba nyingine ambayo unataka kutumia kwenye whatsapp tofauti na ile ya mwanzo
mpaka hapo utakuwa umekamilisha zoezi la kuweka whatsapp mbili kwenye simu yako
Post a Comment