Mchechaji Victor Wanyama ambaye ni
raia wa
Kenya anakaribia kujasiliwa na klabu ya
Tottenham Hotspur kwa ada ya pauni milioni 11
kiungo huyo wakati kutoka Southampton.
Kenya anakaribia kujasiliwa na klabu ya
Tottenham Hotspur kwa ada ya pauni milioni 11
kiungo huyo wakati kutoka Southampton.
Inaaminika kuwa wanyama mwenye umri
wa
miaka 24, ambaye alijiunga na Southampton
akitokea Celtic mwezi Julai mwaka 2013 kwa
pauni milioni 12.5, kwa sasa anafanyiwa
uchunguzi wa kiafya.
miaka 24, ambaye alijiunga na Southampton
akitokea Celtic mwezi Julai mwaka 2013 kwa
pauni milioni 12.5, kwa sasa anafanyiwa
uchunguzi wa kiafya.
Sasa wanyama ataungana na meneja wake wa
zamani Maurico Pochettino.
Post a Comment