0


Kibondo. Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani Kibondo, kushinikiza Serikali kupandisha walimu madaraja.

Hatua hiyo inatokana na mgogoro wa walimu na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Judathadis Mboya kuchukua sura mpya baada ya kuandikia CWT kuwa hawatapanda madaraja, bali watashughulikiwa walimu wanaokaribia kustaafu.

Katibu wa CWT Kibondo, Lyaki Majo alisema wataendelea kuishinikiza ofisi ya mkurugenzi iwatimizie haki zao.

 “Walipanga (walimu) kuanzisha mgomo wa kutofundisha Machi mwaka huu, viongozi wa Serikali walitoa ushauri kuwa wavute subira na sasa baada ya kusubiri na kukosa wameamua kurudi tena  kudai haki zao,” alisema

Post a Comment

 
Top