Maelfu ya watu, wakiwemo Waislamu kutoka maeneo mengi duniani, wanahudhuria swala hiyo katika ukumbi wa Freedom Hall, mjini Louisville.
Swala
hiyo inapeperushwa moja kwa moja kupitia runinga na Waislamu wengi
duniani wanatumai kwamba itaashiria mchango mzuri kwa dini ya Kiislamu
nchini Marekani.
Muhammad Ali alisilimu akiwa kijana. Alikuwa kwanza mwanachama wa madhehebu ya Nation of Islam, kundi lililotetea haki za watu weusi, lakini baadaye akakumbatia imani ya kawaida ya Kiislamu.
Mazishi yake yatafanyika Ijumaa.

Post a Comment