Ni mwaka1 sasa tangu umetutoka tarehe .20/6/015 ndugu yetu
kipenzi (kaka) Enjinia BAHATI NDUPO haitotokea siku tukusahau kwa mchango wako
mkubwa uliotupatia,tutakukumbuka milele, pumzika pema Nakukumbuka sana,
Enjinia Bahati Ndupo ni moja ya wadau waliosaidia
kufanyikisha kuwepo kwa LIWALE BLOG toka mwaka 2014.
R.I.P

Post a Comment