0
 

 Mchezo uliweza kusimama hapa baada ya wachezaji wa mihumo fc kuanzisha vurugu baada ya mchezaji wao kupewa kadi nyekundi


  kocha wa Hawili fc Hasani Malapo akimsaidia golikipa wake baada ya kupata maumivu ya mguu



Ligi ya Liwale Super Cup inazidi kupamba moto lee washabiki wa soka wilayani Liwale wameshuhudia mpambano wa kukata na shoka kati ya Mihumo fc Vs Hawili fc Mchezo uliochezwa uwanja wa wilaya ya liwale na kushudia Hawili fc ikiiminia mabao 8 Mihumo fc ,magoli ya Hawili fc yalifungwa na

Yasini Ngayaga  magoli 2  >dakika ya 4 na dakika ya 23

Ramadhani Hashimu magoli 3  > dakika 20,45 na dakika 49
Imani Mbesagwa magoli 3  >dakika 38,66 na dakika 68
MATOKEO MPAKA DAKIKA 90 ZINAKAMILIKA ILIKUWA  MIHUMO FC 0-8 HAWILI FC
 
Kocha wa timu ya Mihumo Juma Ngokwe aliwamwagia lawama wahamuzi wa michezo hapa wilayani kupanga motokeo lakini akiri kufungwa mabao 8 na kocha wa Hawili fc Hasani Malapo alisema mchezo ulikuwa mzuri na anajipanga na anapanga kuweza kushinda mechi ijayo dhidi ya Nangando city itayopigwa tarehe 7/7/2016.

KESHO KUTAKUWA NA MCHEZO KATI YA SIDO FC Vs MNARANI FC

Post a Comment

 
Top