0


Toshiba, Seagate au WDC (Western Digital) haya ndio makampuni yanayoongoza kwa kutengeneza harddrives (diski hifadhi) duniani kwa sasa. Kampuni ipi inatengeneza diski hifadhi imara na inayodumu kwa muda mrefu angali orodha hii kutoka Blackblaze.

Kwa kuwa makampuni mengi ya tech hayapendi kutoa data za kufeli kwa baadhi ya bidhaa zao, ni ngumu kutambua bidhaa zipi ni bora zaidi ya nyingine. Kwa mfano makampuni yanayotengeneza bulb (taa) kwa kiasi kikubwa wanalazimika kuharibu au kutoruhusu bulb nyingi kuingia sokoni kwa kuwa zipo chini ya kiwango. Lakini hata siku moja hutowasikia wakilisema hili hadharani.

Cheki hapa orodha kamili ya viwango vya hard drives kama zilivyopimwa kwa muda wa masaa bilioni 1
Kwa kuangalia matokeo haya utaona hard drives kutoka kampuni ya HGST kiwango kidogo cha ubora ukilinganisha na Hard drives kutoka katika kampuni ya Western Digital na Toshiba.

Post a Comment

 
Top