0
 Mama Mmbaga akitoa shurani zake za dhati kwa wanaliwale kipindi chote walipokuwa wilayani Liwale kwa kuweza kushirikiana na wanaliwale
 Wanachama mbalimbali wa bodaboda na viongozi mbalimbali walioudhulia kwenye hafla ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Liwale Mh. Ephraim Mmbaga
 Wanachama mbalimbali wa bodaboda na viongozi mbalimbali walioudhulia kwenye hafla ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Liwale Mh. Ephraim Mmbaga
  Mh. Ephraim Mmbaga akitoa neno lake la shukrani kwa wanaliwale wote kwa uvumilivu waliouonesha kipindi cha uongozi wake na amewaomba radhi kwa wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine kama amewakwaza na amewaomba wanaliwale waendelee ushirikiano kwa viongozi mbalimbali bila kujali itikadi

 Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Liwale akiambana na mkeo mama Mmbaga kwenye hafla ya muagwa iliyoandaliwa na chama cha Bodaboda iyofanyika katika ukumbi wa Liwale Guest usiku wa leo
 Mratibu kata bwana Musa Mangota (kulia) akipeana mikono na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Liwale mh. Ephraim

 Mwenyekiti wa NNCR (kulia) akipeana mikono viongozi mbalimbali waliokuja kumuaga aliyekuwa Dc liwale hafla iliyoandaliwa na chama cha Bodaboda leo

 Alikuwa mkuu wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi akipeana mikono na Diwani wa kata ya Likongowele Juma Kelya (cuf)
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Liwale Mohamedi Mtesa (kushoto) akiana na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Liwale hii leo katika ukumbi wa Liwale Guest usiku huu

Mwenyekiti wa chama cha Bodaboda Liwale Rafii Likochelo (kushoto) akitoa neno la shukurani kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Liwale mh. Ephraim Mmmbaga

Post a Comment

Top