katika Mechi za Copa America ambazo zilikuwa zinapigwa usiku wa kuamkia
leo matokeo ni kuwa Haiti wamepigwa bao moja kwa sifuri na Peru, Brazil
na Equador wakatoshana nguvu ya bila bila huku Venezuela wakiwaonyesha
Jamaica kuwa Soka siyo muziki wa Rege kwa kuwabamiza bao moja kwa
sifuri.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment