BREAKING NEWS: Polisi Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima 0 Kitaifa 16:35:00 A+ A- Print Email Taarifa zilizotufikia muda huu zinasema Polisi 6 wakiwa ndani ya Landcruiser wamezingira nyumbani kwa Askofu Josephat Gwajima. Sababu za kufanya hivyo bado hazijafahamika, tutaendelea kuwajuza kadri tunavyoendelea kupata taarifa.
Post a Comment