Mashindano ya
mataifa ya ulaya maarufu kama Euro, yanaanza kutimu vumbi leo huko
nchini Ufaransa. Wenyeji wa michuano hii Ufaransa watafungua pazia kwa
kushuka dimbani kuwakabili Romania katika mechi ya kundi A mchezo
ukichezwa katika dimba la Stade de France Mjini Paris.
Viwanja kumi vikitumika kumsaka bingwa mpya wa ulaya,mabingwa watetezi wa mashindano haya ni Spain ambao walibeba Kombe Mwaka 2012.
Post a Comment