0


Gari la kubeba maiti likiwa na mwili wa Muhammad Ali
Msafara wa kuelekea kwenye maziko ya Cave Hill
Umati uliokusanyika kutoa heshima za mwisho katika mwili Muhammad Ali
Mwili wa Muhammad Ali ukiingizwa katika gari la kubebea maiti
Lonnie Ali, Mjane wa Muhammad Ali
Mtoto wa Muhammad Ali, Maryun akipungia umati uliosimama barabarani katika njia ielekeayo makaburini
Mtoto wa Muhammad Ali, Hanna akisalimiana na umati uliosimama barabarani kutoa heshima zao za mwisho
Mwili wa Muhammad Ali ukifikishwa katika makaburi ya Cave Hills

Post a Comment

 
Top