0



WEst Ham wanahamia kwenye uwanja wao mpya unaoitwa Olympic Stadium ktika mji wa Stratford na kuacha uwanja wao wa zamani Upton Park
West ham wanamatumaini makubwa sana ya kufanya vizuri watakapoanza kuutumia uwanja huo msimu wa 2016-2017

Post a Comment

 
Top