0



Basi la mwendokasi T 123 DGW lionekanavyo baada ya kupigwa pasi na Gari ndogo yenye namba za usajili  T543 CUQ , katika makutano ya Barabara ya Msimbazi na Morogoro, Jijini Dar es Salaam mchana wa leo  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

Gari hiyo inavyoonekana baada ya kuipiga pasi Basi la Mwendokasi.


Mmiliki wa Gari hilo akijicha uso baada ya tukio.

Post a Comment

 
Top