
Ligi ya Mbuzi Vijana cup imeendelea tena hii Leo kwa mchezo
mmoja kupigwa katika uwanja wa shule ya msingi muungano Wilayani Liwale katika
kuhitimisha hatua ya makundi kati ya Sido fc dhidi ya Vijuso fc mchezo
ambao umemalizika kwa Sido kuibuka Na goli 1-0.
Goli pekee la Sido fc lilifungwa Na Haikosi mpwate katika
dakika ya 65 ya mchezo huo ligi hiyo itaendelea tena tarehe 26 mwezi huu
kwa mechi za robo fainali.
Timu zilizoingia hatua ya robo final
katika kundi A
Kigamboni FC
Kombaini FC
Mnalani FC
Likongowele FC
Kundi B
Sido FC
Bodaboda FC
Wakaanga sumu
Vijuso FC
Post a Comment