0
Harakati za vilabu vya Ulaya kuanza kuwania saini za mastaa wanaowahitaji katika msimu wa 2016/2017 zimeshaanza, leo May 27 2016 stori kutoka The Mirror wameripoti klabu ya FC Barcelona kufanikiwa kunasa saini ya kwanza katika dirisha hili la usajili.
image2
Barcelona wameripotiwa kutumia pound milioni 2.8 kumsajili Davinson Sanchez kutoka klabu ya Atletico Nacional, beki huyo kutoka Colombia atajiunga na FC Barcelona B lakini atakuwa akifanya mazoezi na  kikosi cha kwanza hiyo ni kwa mujibu wa kocha wa FC Barcelona Luis Enrique.

Post a Comment

 
Top