Timu ya Bodaboda fc imeibuka na ushindi wa goli 4-1 dhidi ya Vijuso fc
katika mchezo wa mashindano ya ligi ya mbuzi vijana Cup yanayofanyika wilayani Liwale,mchezo
uliopigwa katka uwanja wa Shule ya Msingi Muungano.
Magoli ya Bodaboda fc yalifungwa na Saidi milasi dakika ya 40, Given ambaye alifunga magoli mawili katika dakika ya 60 na 67 na goli la mwisho la nne lilifungwa na Bakari ng'ang'a huku goli la kufutia machozi kwa upande wa Vijuso lilifungwa na Yuba Mmocha.
Ligi hiyo itaendelea tena hapo kesho may 9 kwa mchezo mmoja kati ya Nangando fc dhidi ya Z fc mchezo utakao pigwa katika uwanja wa shule ya msingi Muungano.

Post a Comment