Waziri Ummy Mwalimu Awasimamisha Kazi Watendaji Wakuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) 0 Kitaifa 23:06:00 A+ A- Print Email Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (pichani) amewasimamisha kazi kupisha uchunguzi kwa watendaji Wakuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa ubadhirifu wa fedha za mfuko huo kwa Mkoa wa Mara.
Post a Comment