Wanachuo wa chuo cha Uandishi wa habari cha Dar es salaam School Of Journalism (DSJ) watembelea shule ya msingi Uhuru mchanganyiko iliyoko Karume katika wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam hii leo
Wanachuo wa chuo cha Uandishi wa habari cha Dar es salaam School Of Journalism (DSJ) watembelea shule ya msingi Uhuru mchanganyiko iliyoko Karume katika wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam hii leo
Wanachuo wa chuo cha Uandishi wa habari cha Dar es salaam School Of Journalism (DSJ)

Mwalimu Abdallah Juma wa shule ya msingi Uhuru mchanganyiko iliyoko Karume katika wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam akiwakaribisha wanachuo wa chuo cha uandishi wa habari cha Dar es salaam School of Journalism (DSJ)
Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko iliyoko Karume katika wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam akiongea na waandishi wa habari mara baada ya wanachuo wa DSJ kutembelea shuleni hapo na kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali hii leo pia amewashukuru wanachuo hao pia kasema mahitaji ya watoto hao ni makubwa amewaomba wadau kujitokeza kusaidia
Madam Joyce Mbogo ndio msimamizi mkuu wa safari ya PR ASSOCIATION iliyotembea katika shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko iliyoko Karume katika wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam.
PR ASSOCIATION hufanya safari kwa mwaka mara mbili na safari hii wameweza kutembelea shule ya Uhuru Mchanganyiko ya watoto wenye Ulemavu (Picha na Liwale Blog)
DAR ES SALAAM SCHOOL OF JOURNALISM
(DSJ) LEO ASUBUHI WANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI (DSJ) NGAZI YA
STASHAHADA- A MWAKA WA KWANZA WALIKUWA NA ZIARA MAALUMU "DSJ -PR
ASSOCIATION 2016" KWAAJILI YA KWENDA SHULE YA MSINGI UHURU MCHANGANYIKO
KWA AJILI KUTEMBELEA WATOTO WALIOWALEMAVU NA KUSAIDIA KUTOA MICHANGO MBALIMBALI.
BAADHI YA
MAHITAJI NA MICHANGO ILIYOTOLEWA NA DSJ: KAMA SUKARI, SABUNI YA UNGA,SABUNI YA KUOGEA, DAWA
YA MSWAKI, PENCILS, MAFUTA YA KUPIKIA, MAFUTA YA KUPAKA, JUICE , CHUMVI, N.K
PAMOJA NA "PED" KWA UPANDE WA WANAFUNZI JINSIA YA KIKE WALIOFIKIA
UMRI WA KUELEKEA UTU UZIMA.
PIA DSJ ILITOA MCHANGO WA PESA KWA AJILI YA
KUTENGENEZEA MASHINE TANO (5) ZA KUSOMEA WANAFUNZI WASIOWEZA KUONA MRATIBU WA
MASOMO WA CHUO CHA DSJ MADAM JOYCE MBOGO AMEWAPONGEZA UONGOZI WA SHULE YA
MSINGI 'UHURU MCHANGANYIKO' KWA KUKUBARI KUWA PAMOJA NA CHUO CHA DSJ KWA SIKU
YA LEO KATIKA SHIRIKIANA KUSAIDIANA NA KUWATEMBELEA WATOTO (WANAFUNZI
WALIOWALEMAVU) AMETOA SHUKRANI ZA DHATI KWA MWALIMU MKUU WA SHULE YA UHURU
MCHANGANYIKO.
IMETOLEWA NA
CHUO CHA
UANDISHI WA HABARI (DSJ)
LEO TAREHE 23/4/2016
Post a Comment