Michezo ya viporo ya Ligi Kuu soka Tanzania bara imepigwa leo kwa vilabu vya Azam FCna Yanga kucheza michezo yao ambayo awali ilikuwa imehairishwa kutokana na kuingiliana na michezo yao ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, lakini na michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Yanga
Matokeo ya mechi za jana
Ufuatao ndio Msimamo wa Ligi Kuu kwa 10 za juu
Post a Comment