0


Baadhi ya Nyumba za makazi, huduma mbalimbali na vijiwe vya kufanyia biashara eneo la Chalinze nyama Dodoma vikiwa vimezingirwa na maji (mafuriko) kufuatia mvua kubwa iliyonyesha mkoani humo usiku wa kuamkia April 4, 2016.

Baadhi ya Wakazi wa eneo la Chalinze nyama Dodoma wakihamisha mali zao baada ya makazi yao kuzingirwa na maji (mafuriko) kufuatia mvua kubwa iliyonyesha mkoani humo usiku wa kuamkia April 4, 2016.

Baadhi ya magari ya kubeba abiria mapema leo yalinusurika kusombwa na mafuriko yalipojaribu kuvuka barabara eneo la Chalinze nyama Dodoma

Post a Comment

 
Top