Basi la Mohamedi Khalifa (KHALIFA FAMILY) linalofanya safari zake Kutoka wilayani Lwale kwenda mkoani Mtwara leo asubuhi limeacha barabara na kupinduka maeneo ya daraja ya Nangoo katika kijiji cha Nanganga-Ndanda Mkoani Mtwara na kujerui abaria na idadi ya majeruhi bado haijafahamika.
Basi hilo leo lilikuwa linatokea mkoani Mtwara kuelekea wilayani Liwale mkoani Lindi taarifa iliyopata LIWALE BLOG kutoka kwenye tukio zinasema hakuna mtu aliyepoteza maisha.
HABARI KAMILI NA MAJINA YA MAJERUHI BOFYA HAPA
Post a Comment