Hapa ni moja ya majenga ya shule ya msingi Kimambi iliyopo zaidi ya kilometa 40 kutoka wilayani Liwale mkani Lindi
DC akiangalia mazingira ya shule huku akutana na changamoto nyingi shuleni hapo
Ofisi ya walimu wa shule ya msingi Kimambo akiwa imechakaa na kujaa kwa popo na husabisha kuwa na harufu mbaya
Baada ya kufungua mlango chumba cha walimu kama unapojione picha ya hapo juu jinsi ya popo walivyokimbizana
DC akiangalia popo jinsi walivyojaa juu ya ukuta
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kimambi bwana Jafari Mnuga akiangalia ofisi yake kwa juu ikiwa na imejengwa na wadudu
Taswira ya madara ya shule ya msingi Kimambi
Shule msingi Kimambi kila darasa lina madawati 6 kama unavyoona hapa pichani
Ofisi ya WEO bwana Matiusi Yebeti wa kijiji cha Kimambi ikiwa katika mazingira machafu
Zahanati ya kijiji cha Kimambi iakiwa dirisha halina bawaba wameshindwa hata kukarabati kugongea bawaba moja
Dc akishauriana na meya jinsi ya hali waliyoikuta
Choo cha zahanati ya kijiji cha Kimambi kikiwa kichafu,na kina tundu moja tu linalotumika
zahanati yakutwa inatundu moja la choo kinachotumika na ofisi ya weo haina choo inategemea choo cha zahanati pia choo hicho kimejengwa kichini ya kiwango
mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kimambi akiwa ofisini kwake baada ya mgeni kuingia shuleni hapo
DC akiomba ruhusa kwa walimu kuingia chumba kilichofungwa na kukuta popo wakikimbizana juu ya ukuta
hapo picha baadhi ya popo baada ya kufungua mlango hali ilikuwa hivyo
DC akisahini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kimambi
hii ndio taswira ya shule ya msingi Kimambi
DC akiwa moja ya madarasa ya shule ya msingi Kichonda akiangalia hali halisi ya majengo na ashauri majengo ya zamani pamoja na madawati mabovu kuyakarabati ili kupunguza uhaba wa madawati pamoja na madarasa
hii ilikuwa ziara ya ghafla ya mkuu wa wilaya ya Liwale mh.Ephraim Mmbaga alioambatana na meya na viongozi mbalimbali wa idara ya ujenzi na elimu katika kijiji cha Kimambi na Kichonda.
DC ajionea baadhi ya miradi katika kijiji cha Kimambi imejengwa chini ya kiwango miradi hiyo ikiwa choo cha zahanati pamoja na choo cha mtushi wa afya amemwagizi anahusika na ukandarasi wa vyoo hivyo afatiliwe na kutaka maelezo.(Picha zote na Liwale Blog)
DC akiangalia mazingira ya shule huku akutana na changamoto nyingi shuleni hapo
Ofisi ya walimu wa shule ya msingi Kimambo akiwa imechakaa na kujaa kwa popo na husabisha kuwa na harufu mbaya
Baada ya kufungua mlango chumba cha walimu kama unapojione picha ya hapo juu jinsi ya popo walivyokimbizana
DC akiangalia popo jinsi walivyojaa juu ya ukuta
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kimambi bwana Jafari Mnuga akiangalia ofisi yake kwa juu ikiwa na imejengwa na wadudu
Taswira ya madara ya shule ya msingi Kimambi
Shule msingi Kimambi kila darasa lina madawati 6 kama unavyoona hapa pichani
Ofisi ya WEO bwana Matiusi Yebeti wa kijiji cha Kimambi ikiwa katika mazingira machafu
Zahanati ya kijiji cha Kimambi iakiwa dirisha halina bawaba wameshindwa hata kukarabati kugongea bawaba moja
Dc akishauriana na meya jinsi ya hali waliyoikuta
Choo cha zahanati ya kijiji cha Kimambi kikiwa kichafu,na kina tundu moja tu linalotumika zahanati yakutwa inatundu moja la choo kinachotumika na ofisi ya weo haina choo inategemea choo cha zahanati pia choo hicho kimejengwa kichini ya kiwango

Post a Comment