Mkuu wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi mh.Ephraim Mmbaga akagua daraja leo lilokatika baada ya kunyesha mvua kubwa na kubomoa daraja sasa mawasiliano yalejea kama awali baada ya viongozi wa serikali kufanya jitihada za haraka
Meya Mohamedi Mtesa aliyesimama upande wa kuliaakiangalia kwa makini daraja lilojengwa haraka ili kuweza kurahisisha usafiri wa kutoka Liwale kuunganisha Nangurukuru baaada ya kukatika daraja mabasi yalikuwa yakizunguka kutoka Liwale hadi Lindi hali iliyopelekea kupanda kwa nauli
Mkuu wa wilaya akiambatana na ejinia wa wilaya wakikagua daraja leo katika kijiji cha kimambi
Hivi nilivyo lilipo katika daraja na kutenganisha barabara na kuwa kero kwa wakazi wa liwale husani wafanyabiashara ambao barabara hii ni muhimu sana kwa wakazi wa wilaya ya Liwale
Sasa magari yanarusiwa kupita lakini magari yasiyozidi tani 20 kwa mujibu wa wataalamu na alama zilizowekwa kwenye daraja hilo

Post a Comment