0


Rais Dakta John Magufuli amepokea taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof.Mussa Assad, leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Hafla ya makabidhiano hayo imehudhuriwa pia na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na viongozi wengine waandamizi wa Serikali na Ofisi ya Mdhibiti ana Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

Ripoti hiyo yenye vitabu vitano imegusa maeneo mengi ikiwemo ukusanyaji wa kodi kutoka nyanzo mbalimbali, misamaha ya kodi na kadhalika.

Post a Comment

 
Top